01
01
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia sekta ya Mawasiliano Dkt. Maria Sasabo akitoa maelezo ya kituo mahiri cha kutunza kumbukumbu (internet Data Centre) kwa Makatibu Wakuu hawapo pichani walipotembelea kituo hicho kilichopo eneo la Kijitonyama DSM. .
02
02
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Dkt. Yamungu Kayandabila katikati akitoa maoni yake kuhusu kituo mahiri cha kutunza kumbukumbu “ Internet Data Centre”, .
03
03
Afisa kutoka Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Bw. Suleimani Kagobe akitoa maelezo kwa Makatibu Wakuu jinsi mfumo wa umeme unavyofanya kazi katika kituo hicho .
04
04
. .

Permanent Secretary
Ministry of Communication, Science and Technology
14 Jamhuri Street
Block No: 1168/19
P.O.Box 2645
11470 Dar es Salaam
TANZANIA.
Phone: +255 22 2116669+255 22 2116669
Fax: +255 22 2112533
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Website: www.mst.go.tz

Copyright 2011 Home. Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Templates Joomla 1.7 by Wordpress themes free
Follow Us on Facebook
Follow us on Twitter